[ad_1]

A crowd of Ethiopian workers wearing orange hi-viz work clothes wave Ethiopian flags.

Chanzo cha picha, AFP via Getty Images

Maelezo ya picha, Katika taifa lenye mtafaruku, ujenzi wa bwawa lilikuwa jambo moja lililowaleta watu pamoja

    • Author, Kalkidan Yibeltal
    • Nafasi, BBC News Addis Ababa

Ukubwa wa eneo la jengo kwanza ulikuwa mkubwa sana kwa mhandisi mchanga wa mitambo nchini Ethiopia.

Mamia walikuwa tayari wakichimba misingi katika mazingira magumu katika eneo ambalo sasa ni bwawa kubwa zaidi la umeme wa maji barani Afrika, linalozunguka Mto Blue Nile.

Moges Yeshiwas alikuwa na umri wa miaka 27 alipowasili katika eneo hilo lililo mbali la magharibi mwa Ethiopia mwaka wa 2012, akiwa na shauku ya kupata uzoefu muhimu katika taaluma yake.

Kukamilika kwa mradi huo kutabadilisha taifa lake, lakini pia kulibadilisha maisha yake.

[ad_2]

Source link

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *