“Mpaka leo tumetoa vibali 102 kwa nchi nzima, kwa kituo chetu cha mabasi cha Magufuli tumetoa vibali 40 katika eneo lile tu, ikimaanisha mabasi ambayo yanaanzia hapa Dar es Salaam kwenda maeneo mengine yaliongezeka kwa idadi hiyo, kwa hiyo mpaka sasa tumetoa vibali 102 na hali inaendelea kutengamaa,” Pateli Ngereza – Afisa Mfawidhi LATRA Dar es Salaam.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *