#HABARI: Mbunge wa Jimbo la Mbulu Vijijini Dkt. Emanuel Nuwas amewataka vijana kulinda tunu ya amani na kujiepusha na vitendo vya uvunjifu wa amani na badala yake wawasilishe hoja zao kwa njia ya mazungumzo ya amani kwani Serikali ya Awamu ya Sita ni tulivu na tayari imetoa shilingi bilioni 200 kwa ajili ya kuwawezesha kiuchumi vijana kote nchini.
Akizungumza na makundi ya vijana wa bodaboda katika Kata za Dongobesh, Maghang na Haydom Dkt. Nuwas amewataka vijana kulinda amani ya nchi kwani ni msingi wa maendeleo.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania