#HABARI: Wananchi wa Mkoa wa Shinyanga wameshauriwa kuhakikisha tunu za taifa zilizoachwa na waasisi wa taifa la Tanzania ikiwemo tunu ya amani na utulivu zinalindwa kwa maslahi ya kizazi cha sasa na vizazi vijavyo huku vijana wakiombwa wasijihusishe na vitendo vinavyoweza kusababisha vurugu yakiwemo maandamano yasiyo ya lazima.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KISHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.