#HABARI: Jeshi la Polisi mkoani Geita, limesema hakuna zuio la uuzwaji wa mafuta katika vituo vya mafuta kwa mkoa huo, wala hakuna zuio la watu kutotoka nje badala yake wananchi waendelee na majukumu kama kawaida kwa siku ya Desemba 9 kwa kuwa hakuna tishio la usalama na jeshi hilo limeimarisha ulinzi kila mahali ili kuwawezesha wananchi kufanyakazi muda wote pamoja na kupata huduma za kijamii muda wote.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *