Kipindi maalum cha kuitambulisha tamthilia ya #PichaYangu inayoanza leo saa 1:30 usiku kupitia #SinemaZetuHD
Watangazaji @anamalinzi na @abuuyusuftz waliwakutanisha jukwaa moja waandaaji wa tamthilia za #PichaYanguSeries, @stickmotela, #NomaSeries @adamoo14 pamoja na wawakilishi wa #TaswiraSeries, @ussyhajjizanzibar na #KombolelaSeries alikuwepo Iriki ya mapenzi, binadamu mwenye kisiwa chake cha malavidadi, Jobless wa Taifa, Kaka mkubwa, nyanda la boli, balozi @kobisi_kikala_
Kutoka Noma alikuwepo Side Boi @alexander_malick, Taswira walikuwepo @hamadaitz_, @sele_michano na @trisser_joseph, wakiwakaribisha waigizaji wa Picha Yangu, @nana_dollz @cox_toto, @divah_queen_of_eyes, Mzee Chilo na @amani_kigoye
#SinemaZetuHD #HnanadollzakikaNiZaKwetu