#HABARI: Watu watatu wamenusurika kifo eneo la Mtaa Mafiati jijini Mbeya baada ya magari mawili kugongana, gari la kwanza ni gari mali ya Shirika la Umeme nchini (TANESCO-EMERGENCY) na gari aina ya Coaster mali ya Kampuni ya Cocacola.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *