#HABARI: Hali ya utulivu inaendelea kuonekana katika eneo la stendi ya mabasi ya Hanang iliyopo Wilayani Hanang mkoani Manyara ambapo shughuli za usafirishaji zinaendelea huku kukiwa na idadi ndogo ya abiria ukilinganisha na siku za kawaida