Baaaa ya kukimbia na kujichimbia, Karesi Bey amerudi kivingine tena na kujipa utawala wa eneo la maji.
Kaenda mbali zaidi na kumshika masikio waziri…
Sasa amemuweka kiganjani, Begum Hatun anayetaka awe jasusi kwenye kasri la Osman Bey.
Mambo yanazidi kunoga #Ottoman ya #AzamTWO