#HABARI: Wakazi wa Mkoa wa Tabora wameendelea na shughuli zao za kila siku tofauti na maeneo mengine nchini wakidai viongozi wa mkoa huo wamewahakikishia usalama wao juu ya uwepo wa taarifa zisizo rasmi za kufanyika maandamano nchi nzima kuanzia leo Desemba 9, 2025, huku wakiwataka vijana kuacha kufuata mkumbo wa kuliingiza taifa kwenye machafuko.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *