#HABARI: Hali ya amani na utulivu imetawala katika mji wa Babati mkoani Manyara huku wasafirishaji vitu wakidai kudorora kwa biashara hiyo kutokana na uhaba wa abiria unaosababishwa na wananchi wengi kubaki majumbani kama serikali ilivyoagiza siku ya jana.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania