Historia ya Uhuru wa Tanzania Bara imepitia mambo mengi yenye kufurahisha na yanayopaswa kuendelea kuenziwa kutoka kizazi hadi kizazi kingine.

Mkoani Singida kuna mti uliobeba simulizi ya Hayati Baba wa Taifa, Mwl. Julius Nyerere na harakati za kuwaunganisha na kuwahamasisha wananchi kupigania Uhuru wa iliyokuwa Tanganyika.

M,sikilize Deus Liganga akisimulia na kuzungumza na wenye kuifahamu historia ya mti huo na harakati za uhuru.

Mhariri @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *