Jeshi la Polisi kwa ushirikiano na vyombo vingine vya ulinzi na
usalama lingependa kujulisha kuwa, vimeendelea kufanikiwa kwa
ushirikiano mkubwa wa wananchi kuimarisha usalama hadi muda huu
wa saa 6 usiku na nchi yetu hadi sasa imeendelea kuwa shwari.

Kwa ushirikiano huo huo usalama utaendelea kuimarishwa
sambamba na kulinda maisha ya wananchi na mali zao.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *