Wakati tukiiaga #TaswiraSeries, @sele_michano alishindwa kujizuia na kulia 🥹 Ila amehakikishiwa kuwa hapa ndio nyumba ya vipaji halisi na ni nyumbani kwao kabisa, siku zote ataendelea kuonekana kwenye chaneli pendwa ya #SinemaZetuHD
Usikose kutazama #PichaYanguSeries kila Jumatatu – Alhamisi saa 1:30 usiku pekee.