Waendesha mashtaka katika mahakama ya ICC, wameanza kuwasilisha ushahidi kuiomba mahakama hiyo, kuthibitisha mashtaka dhidi ya Joseph Kony, kiongozi wa kundi la waasi wa Uganda wa LRA, ambaye yuko mafichoni.
ICC: Waendesha mashtaka waitaka mahakama kuthibitisha mashtaka dhidi ya Kony