Mamlaka nchini Australia zimeachia video inayoonesha tukio la mwana-parachuti alivyokwama kwenye bawa la ndege Septemba 20 mwaka huu … maelfu ya mita juu ya anga la Far North Queensland.
Shujaa huyo alijinasua kwenye bawa hilo baada ya kufungua parachuti la dharura, hatua iliyookoa maisha yake na kumuacha na majeraha madogo tu.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi