Chuo Kikuu cha Iringa (UoI) kimeanzisha kituo maalumu cha msaada wa kisheria kwa wananchi wa kipato cha chini, kinacholenga kuhakikisha huduma muhimu za kisheria zinapatikana.
Lengo ni kuwasaidia wananchi wanaoshindwa kumudu gharama za kuajiri mawakili kwa ajili ya kutatua matatizo yao mbalimbali ya kisheria.
Muhammad Nyaulingo
Mhariri | @claud_jm
#AzamTVUpdates