#HABARI: Mbunge wa Jimbo la Kakonko Alan Thomas Mvano, amesema kuwa atashughulikia kwa haraka changamoto ya ukosefu waZahanati na Mnara wa Mawasiliano katika eneo la Nyamwironge wilayani Kakonko, ili kuwasaidia wananchi wanaopata adha ya ukosefu wa Zahanati hivyo kulazimika kutembea umbali mrefu huku wakiwa hawana mawasiliano ya uhakika katika kuwasiliana na ndugu jamaa na marafiki.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *