Mradi makubwa wa soko la kisasa la mwanga katika manispaa ya kigoma ujiji umefiki Asilimia 32 ya ujenzi wake huku ikitarajiwa mara huo kuwa chocheo la kuwa kwa uchumi na mapato kwa mfanyabiasha m mmoja mmoja na manispaa hiyo kwa ujumla
Mkurugenzi manispaa ya kigoma ujiji Kisena mabuba ameyasema hayo kando mwa xiara ya wanahabri mjini humo kukagua miradi mbali mbali ya maendeleo
Amesema mradi huo unaifadhiliwa na bank ya Dunia utakapokamilika utakuwa na uwezo wa kuwahudumia wafanyabuashara. Elfu nne Toka chini ya elfu moja soko la swali na hivyo kuboresha na kuongeza mapato
kwa upande wake mmoja wa wasimamizi wa mradi injia Joseph marandu amesema Kasi ya ujenzi wa mradi huo unaotarajiwa kukamiliam mwezi apri mwakani tunakwenda vizuri.