#HABARI: Shabiki maarufu wa Simba Ziad Mohamed ‘Muhaya Msomi’ amesema hali ya Simba sasa ni mbaya kwani hadi mashabiki hawaaminiani.

haoni mabadiliko yoyote yaliyo makini kutoka Kwa viongozi wa Simba haswa kipindi hiki ambacho imekuwa rahisi Simba kuyumbishwa na waliomo ndani na nje.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *