Wizara ya kilimo imewataka wafanyabiashara kwa kushirikiana na wakulima na maafisa ugani kutoka kwenye maeneo yao wanashirikiana katika kuangalia hali ya masoko na kupeleka pembejeo kwa wakati kulingana na uhalisia wa maeneo husika ili kuendana na msimu wa kilimo.
Ushauri huo unakuja baada ya baadhi ya wakulima kuitaka wizara hiyo kuwafikishia huduma hiyo ya pembejeo kwa wakati husika, Joyce Mwakalinga amewatembelea baadhi ya wakulima wilayani Musoma mkoani Mara ni hii ni taarifa yake kamili kutoka huko.
Imeandaliwa na @moseskwindi