Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Alex Malasusa amewataka viongozi wa dini zote nchini kuwa chanzo cha kuwaunganisha Watanzania katika kudumisha amani na si kuwa chanzo cha kuweka matabaka ya kidini.

Fuatilia taarifa hii ya mwandishi wetu Theresia Mwanga.
Mhariri @abuuyusuftz

#AzamTVUpdates #HabariWikiendi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *