Kundi la waasi la M23 linadaiwa kujipanga kuendelea na mashambulizi yake nje ya Mkoa wa Kivu Kusini, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), baada ya kudhibiti mji wa pili kwa ukubwa wa Uvira wiki iliyopita. Wakati huo huo, Tanzania imethibitisha kupokea wakimbizi 52 waliokimbia machafuko kutoka DRC.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi