Ukiachana na mazoea ya muda mrefu ya kuwaandaa na kupamba maharusi wa kike kwa ajili ya ndoa, hivi sasa mambo yamebadilika. Katika nyakati za sasa, hata vijana wa kiume visiwani Zanzibar hupambwa kwa kufungwa vilemba maalum ili kuongeza mvuto wao siku ya harusi.

Kijana Mussa Ali Hamadi ameamua kujikita katika kazi hii ya upambaji wa maharusi wa kiume, hatua, iliyompa kipato zaidi baada ya kuacha kazi yake ya awali ya kuuza kofia mitaani.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *