Watu waliovalia mavazi ya viumbe wa kutisha ‘Krampus’ kutoka katika simulizi za jadi za maeneo ya Milima ya Alps, wameonekana wakipita mitaani mjini Munich – Ujerumani katika gwaride na kuwaadhibu watoto wenye tabia mbaya kwa viboko vya ‘fagio za miti’.

Gwaride hilo ni sehemu ya sherehe na tamaduni za kabla ya Krismasi kusini nchi hiyo.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *