#MICHEZO: Rais wa Klabu ya Yanga Eng Hersi Said amesema anajivunia kuongoza klabu ya hiyo ambayo ameitaja ndio klabu yenye mafanikio zaidi nchini Tanzania!
Katika mazungumzo na @hoseamchopa Exclusive akiwa Doha Qatar aliulizwa swali anajisikiaje kushiriki katika kuamsha Yanga ambayo ilikuwa imelala Kimataifa na Simba ndio ilikuwa inatoa ushindani Kimataifa
ENG Hersi Said alikandamizia kuwa hata Kimataifa Yanga haijazidiwa na klabu yoyote Tanzania.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania