Aliyekuwa Waziri wa Nchi – Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji, Geofrey Mwambe amepatiwa dhamana katika Kituo Kikuu cha Polisi alipokuwa akishikiliwa.
Wakili wake, Hekima Mwasipu ameelezea tuhuma zinazomkabili mteja wake.
#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi