Wakulima kutoka katika kata nne za wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa wamepaza sauti kuwalalamikia baadhi ya mawakala wanaouza mbolea za ruzuku kwa kutoza bei kubwa ya mbolea hizo hadi kuwakwamisha kununua hali inayotishia ushiriki wao katika kilimo msimu huu.

Taarifa ya Sammy Kisika.

#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *