Huyu ndio Baba yake Mussa au kwa jina jingine Shaiza ambaye kwa sasa ameajiriwa kwenye misheni ngumu ya kusaka baadhi ya nyaraka na kazi nyingine ya kujilinda asijulikane kwenye mpango huo.

Baba Mussa anamtaka mwanaye na amembana James aweze kusema alipo mtoto wake ambaye hajarudi nyumbani alipotoka masomoni.

Tuendelee na hadithi tamu ya #PichaYanguSeries kila Jumatatu hadi Alhamisi saa 1:30 usiku #SinemaZetuHD

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *