#HABARI: Raia zaidi ya elfu moja kutoka Burundi waliokwama katika Mji wa Uvira, kutokana na mapigano kati ya Serikali ya Congo na M23, wamerudi nyumbani kwao na kupokelewa na vyombo vya usalama jijini Bujumbura.
Raia hao walikuwa wakiendesha shughuli za biashara na kazi zingine katika mji wa Uvira, ambao kwa sasa umechukuliwa na kundi la M23.
#KUMEPAMBAZUKA
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania