Gaby amvulia uvivu Camila na amwambia ukweli kuhusu Juana kuwa na ujauzito wake. Bibi yake Juana amuwakia Gaby kuhusu mweleko wa mjukuu wake ambaye kwa sasa ana mapenzi mazito na Gabriel.

Usikose kutazama JUANA leo saa 1:00 usiku ndani ya #AzamONE chaneli namba 101 #AzamTV

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *