Msikilize Daktari Bingwa wa Masikio, Pua na Koo, Umary Ayoub akieleza namna mafindofindo yaliyopo ndani ya kinywa chako yanavyosaidia kulinda afya ya koo dhidi ya vimelea mbalimbali vya magonjwa.
#AzamTVUpdates
✍Nifa Omary
Mhariri | John Mbalamwezi