“Na tangu nimeanza kutoa elimu ya fedha 2022 kitaalamu hata madarasa ambayo nimekuwa nikiwakaribisha watu ili waweze kujifunza unakuta unapata watu kwa idadi kubwa sana. Kumekuwa na mwamko mkubwa sana wa watu kutaka kujua kuhusu fedha zao na kufanya maamuzi mazuri zaidi kuhusu fedha zao”- Rehema Kyando, Mkufunzi wa Mambo ya Fedha. (@Rehema_and_Finance)

#LiveonClouds360
#Clouds26Nyoosha
#LainiYaWana

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *