Madaktari wa upasuaji na wasimamizi wao wapo kwenye safari ya kimatibabu, iliyojaa mambo mbalimbali ikiwemo hadithi za kuhuzunisha na kufanya kulazimika kufanya uamuzi utakaobadilisha maisha yao, yote hayo lengo ni kuwa madaktari bora zaidi.
Usikose kutazama Grey’s Anatomy kuanzia Januari 05, 2026 saa 4:00 usiku ndani ya #AzamONE chaneli namba 101 kwenye kisimbuzi chako cha #AzamTV
#AzamONEUnloacked