#HABARI: Uhaba wa makazi na vitendea kazi kwa watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe, mkoani Pwani, umeendelea kuwa mwiba mchungu kwao katika kutimiza majukumu yao ya kutatua changamoto mbalimbali zinazowakabili wananchi, hali inayosababisha kupungua kwa ufanisi wa utoaji wa huduma bora, ikiwemo katika sekta ya elimu.

Hayo yamesemwa na baadhi ya watumishi wa halmashauri hiyo wakati wa kikao kazi na Mbunge wa Jimbo la Kisarawe, Dkt. Selemani Jafo, ambacho kililenga kujadili uwekaji wa mikakati ya utekelezaji wa miradi wa mbalimbali ya maendeleo.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *