#HABARI: Mbunge wa Jimbo la Kakonko kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Alan Mvano amesema atapambania huduma za elimu, afya, maji na miundombinu ya Barabara ili ziweze kupatikana katika vijiji vyote vya wilaya hiyo, kwa maslahi ya wananchi hivyo kuongeza nafasi kubwa ya kufanya shughuli za kiuchumi na kujikwamua katika umasikini.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania.