Taka ni Taka haijalishi imetoka kwenye mitindo, fashion au urembo, ikishakuwa taka, basi ni taka tu Cha muhimu ni kataa taka.

Tunashona, tunadarizi, tunanunua, tunaagiza, tunavaa na tunapendeza yote ni sehemu ya maisha lakini pale mitindo inapogeuka kuwa mzigo kwa mazingira yetu, hapo ndipo tunapaswa kusimama na kujiuliza: je, hii ni fashion au ni taka

Makachero wa #SentroCloudsTv leo wanaangalia kwa undani jinsi mitindo na fashion zinavyochangia ongezeko la taka katika mazingira yetu Ujumbe wao uko wazi Taka ni taka kataa taka Tunakutana Kitivoni Kuanzia saa 1:30 🕜 usiku.

#SentroCloudsTv
#Clouds26Nyoosha

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *