Unamjua Jully Taxi? Huyu hapa staa kutoka Mwanza ambaye alitamba kwa sauti na kipaji adhwimu cha uigizaji. Alama zake ni nyingi pengine SARADINI unaikumbuka zaidi.
Tuko naye usiku wa leo kupitia #Alama ya #SinemaZetuHD ikisimamiwa na mtangazaji hodari @sophiamgaz