Hofu imeendelea kutawala katika viunga vya mji wa Uvira kufuatia kusikika kwa milio ya risasi licha ya tangazo la kundi la M23 la kutangaza kujiondoa katika mji huo.
Faraja Samo na simulizi zaidi.
#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi