#MICHEZO”…nadhani mwaka huu kama ulikuwa shuhuda mzuri kwenye mashindano ya CECAFA yaliyofanyika pale Burundi, hapo bado tukaonesha tupo kwenye kasi ya kwamba sisi ni hodari wa mpira wa miguu hasa Afrika Mashariki, tulikuwa washindi wa pili pale CECAFA baada ya Kenya….. Tanzania sisi nadhani Afrika Mashariki tulikuwa ndio timu yenye wachezaji wengi wa kulipwa…”Mwenyekiti Chama Cha mpira wa miguu kwa watu wenye ulemavu mkoa Arusha ( ARAFA) – Mathias mnongya,

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *