#MICHEZO“…ikumbukwe kwamba ni mpira ambao ndio uliofungua dimba kwa timu za taifa kuweza kupata vigezo katika kombe la dunia….hizi juhudi zote ambazo zimefanyika maana yake kuna watu walikuwa nyuma yake….nadhani 2021 unakumbuka timu ya kwanza ilivyoenda kombe la dunia….”Mwenyekiti Chama Cha mpira wa miguu kwa watu wenye ulemavu mkoa Arusha ( ARAFA) – Mathias mnongya.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania.