Burudani tamu na muziki Mzuri wa jioni hadi Usiku hapa kitivoni vitasimamiwa na #WamojaBand kwenye alhamisi tulivu.
Ni muda ambao makachero wa #SentroCloudsTv watakuwa wakinyoosha Taarifa zote kubwa za Usiku na Wamoja Band wakinyoosha Burudani Kama hawatoki Bongo.
#SentroCloudsTv
#CloudsTvNyoosha
Jioni