“Napenda kuwambia kwamba mchakato wa mabadiliko ambao ulianza 2017 sasa unakwenda kufikia tamati. Ni kipindi kigumu tumepita ukiacha Ujerumani hakuna sehemu nyingine unatumika hivyo tumeona changamoto ilivyokuwa namna ya kuupitisha. Unaitwa Hybrid. Kusema kwa uwazi ni miaka nane ambayo ilikuwa na changamoto sana.”

“Kikao chetu cha mwisho tulipitisha Katiba ambayo kama sio leo au kesho itasajiliwa. Hili ni jambo kubwa kwa Simba, miaka nane ilikuwa kupanda na kushuka lakini sasa tunaingia makubaliano ya kujua mwekezaji atafanya nini na wanachama watafanya nini. Kubwa tulikuwa tumesimamisha kutoa kadi na sasa tunaenda kuanza kutoa kadi. Nawahakikishia tunaenda kuwa klabu ya kwanza yenye wanachama wengi sio ndani tu ya Tanzania hata nje.” – Mwenyekiti wa Bodi Simba SC, Crescentius Magori.

Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *