“Mwisho wa mwaka ni utamaduni wa jamii kukutana, shule zinakuwa zimefungwa. Ni mzunguko. Kunakuwa na mabadiliko ya bei ni kipindi cha mambo mengi sana. Unachotakiwa kufanya upo kwenye mzunguko ni lipi unalotakiwa kufanya wakati gani na kwa makubaliano na makusudio gani? Mwisho wa mwaka wa miaka yetu ya nyuma na huu wa GENZ ni tofauti sana. Ni kipindi ambacho tunapaswa kuona misingi mikubwa ambayo inapaswa kuangaliwa”- John Ambrose – Mwanasaikolojia @johnsaikolojia
#SentroYaCloudstv
#Clouds26Nyoosha
#LainiYaWana