“Nimefurahi Waziri wa Vijana hana walinzi. Unamuhofia nani? Natamani nisikie kwamba Waziri wa Fedha ametangaza kila Jumamosi ya mwisho wa mwisho wa mwezi, vijana waende na makabrasha yao wakazungumze nae. Wamuulize maswali. Na mawaziri wengine vivyo hivyo. Na vijana wapewe majibu”- @Nathan_Kimaro, Mjasiriamali
#LiveonClouds360
#Clouds26Nyoosha
#LainiYaWana