#HABARI: Mamlaka nchini Kenya zimewatuhumu viongozi wa kisiasa katika eneo la Trans Mara kwa kuchochea mzozo wa kijamii ambao umesababisha vifo vya watu tisa na mamia ya familia kukimbia makazi yao. Kutokana na hali hiyo ya taharuki, Serikali imetangaza amri ya kutokaa nje huku Waziri wa Usalama wa Ndani, Kipchumba Murkomen, akitembelea eneo hilo kushuhudia athari za machafuko hayo yanayodaiwa kuchochewa na umiliki wa silaha haramu.
Ili kukabiliana na hali hiyo, wakazi wa eneo hilo wamepewa muda wa siku saba kusalimisha bunduki wanazomiliki kinyume cha sheria, la sivyo hatua kali za kisheria zitachukuliwa na polisi. Hatua hizo zinakuja muda mfupi baada ya Rais wa Kenya, William Ruto kuapa kupambana kikamilifu na watu wote wanaomiliki silaha kinyume cha sheria ili kurejesha amani na usalama nchini.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
-
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania