#MICHEZO: Kocha Juma Mgunda ambaye alikuwa msaidizi wa kocha Hemed Morocco wakifanikisha kuipeleka Taifa Stars katika michuano ya mataifa ya Afrika Afcon 2025, akizungumza @hoseamchoopa amesema amefurahishwa sana na kujitoa kwa wachezaji wa Taifa Stars pamoja na kupoteza na ametuma ujumbe kwa Mbwana Sammata huku akiamini inawezekana kwa timu hiyo kupata ushindi katika mechi zilizosalia.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.