Ni siku ya kupokea na kufungua zawadi kutoka kwa tuwapendao na tunaofurahi nao kila siku π
Na sisi Makachero, tupo tayari kupokea mazawadi hayo nasi tutatoa kwa washkaji zetu wanaokuwa nasi kila siku kuanzia saa 1:30 πΊπ₯
Wewe una zawadi gani unayotaka iende kwa nani? Tuletee hapa, nasi tutaipeleka kwa umpendaye bure kabisa Yaaani tunayoosha na FREE DELIVERY kwa ajili yako, kwa sababu leo ni Sikukuu ππ
#SentroCloudsTv
#Clouds26Nyooshaa..!!