#HABARI: Mvua ilioambatana na upepo mkali ilionyesha kuanzia saa tisa jioni ya jana imeezua zaidi ya nyumba thelathini na tano zikiwemo nyumba ibada hali iliopelekea waumini kushindwa kufanya ibada siku ya leo huku zaidi ya watu mia hamsini wakiachwa bila makazi huko wilayani Handeni mkoani Tanga.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *