Kwa Razan mambo sio mambo, Mama Abdulaziz ameshikilia bango, upande mwingine Bi Fatma anakutana na mama mkwe wake (bibi yake Maryam) mambo nayeye yanabadilika. Usikose kutazama UMMY leo saa 1:00 usiku ndani ya #AzamTWO

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *